Skip survey header
Kiswahili▾

Utafiti wa Jumuiya ya CIS 2018-19 - Wazazi

Karibu kwenye Utafiti wa Jumuiya ya CIS kwa Wazazi

Utafiti huu utachukua muda wa dakika 10 kukamilisha. Ni muhimu kumaliza utafiti wote.

Kamilisha utafiti mmoja kwa kila mtoto aliyejiandikisha shuleni. 

Ikiwa unataka kukamilisha jibu lako kwa wakati mwingine, unaweza kubofya "Hifadhi na uendelee baadaye (Save and continue later)" juu upande wa kulia wa utafiti na utoe anwani yako ya barua pepe. Tumia kivinjari sawa cha mtandao kwenye kompyuta moja ili kumaliza utafiti. 
 
Ikiwa una maswali yoyote kuhusu utafiti au unapitia matatizo ya kiufundi, tafadhali wasiliana na accreditation@cois.org.


Faragha ya Data

Jibu lako la utafiti halijulikani. Tunakusanya maelezo ya idadi ya watu kwa madhumuni ya utafiti na kusaidia shule kuelewa bora matokeo ya utafiti. Tunachukua hatua nyingi ili kuhakikisha utambulisho wako umelindwa.

Sera yetu kamili ya faragha inaweza kupatikana hapa.

Data yako inakusanywa na kusindika kwa kutumia SurveyGizmo, jukwaa la mhusika wa tatu linalopatikana Marekani. Unaweza kufikia sera yao ya faragha here.
Incorrect input. Please enter a number
Incorrect input. Please enter a number